Amkata mumewe uume baada ya kumfumania na mwanamke mwingine.....
Kweli ukisikia wanawake wanaroho mbaya basi ujue ni kwa wnzio tu na usiombe yakukute na wewe, Mwanamke mmoja wa kisukuma amemkata mumuwe sehemu za siri kwa kutumia kisu baada ya kumfumania akifanya mapenzi na mtoto wa ndugu yake, Mwanake huyo alichukua uamuzi huo wa hatari baada ya kumfumania mume wake mara kadha na huku akidai kuwa atabadilika lakini bila mafanikio na kilichomuhuzi mama huyo ni pamoja na kushirikiana kwa tendo na ndugu zake wakike ambao wanakuja kumtenbelea.
No comments