Waziri Mkuu Akutana na Madudu Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) 19:48 0 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Bunge), Bw. Uledi Mussa afuatilie malipo ya kiwanja kil...
Waziri Mkuu Aagiza Orodha ya Wadaiwa Sugu DUWASA mkoani Dodoma 06:00 0 WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameagiza apatiwe orodha ya wadaiwa sugu wa taasisi zote za Serikali mkoani Dodoma ambao wamelimbikiza deni la ...
Waziri Mkuu Aeleza Mikakata ya Serikali Kuipanga Dodoma Isiwe Kama Dar es Salaam 10:15 0 WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imeunda timu ya wataalamu ambao watatoa ushauri juu ya suala zima la kuhamishia makao makuu D...
Waziri Mkuu Atoa Mwezi Mmoja kwa Watumishi Waliohamishiwa Kibiti Kuripoti Kituoni 12:30 0 Waziri mkuu, Kassim Majaliwa ametoa mwezi mmoja kwa watumishi waliohamishiwa wilaya mpya ya Kibiti mkoani Pwani kuripoti katika kituo chao ...
Waziri Mkuu Majaliwa Awasimamisha Kazi Maofisa Misitu Wanne, Apiga Marufuku Uvunaji Magogo Rufiji 08:09 0 Waziri mkuu, Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Maofisa Misitu wanne na kusimamisha shughuli za uvunaji wa mazao ya misitu wilayani Rufiji...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Akagua Makazi Yake Mapya Dodoma. 12:18 0 WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa makazi mapya ya Waziri Mkuu katika eneo la Mlimwa na kuagiza umalizike kwa...
Mapokezi ya Waziri Mkuu Mjini Dodoma Yaahirishwa Hadi Vikao vya Bunge Viishe 08:10 0 SERIKALI Mkoa wa Dodoma imesema Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa atahamia rasmi mkoani humo mara baada ya kumalizika kwa vikao vya Bunge vinavy...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Azindua Ripoti ya Hali ya Hewa Barani Africa 07:48 0 WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Afrika wajiulize wanaweza kuchangia kitu gani katika kuboresha maisha ya mamilioni ya wa...
Waziri Mkuu Apokea Hundi ya Sh. Mil. 50 Kutoka NSSF 19:24 0 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amepokea msaada wa sh. milioni 50 kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ili kusaidia ujenzi wa sh...
Uingereza kusaidia usambazaji wa umeme vijijini 02:36 0 Miezi michache baada ya Shirika la Marekani la Changamoto za Milenia (MCC) kujitoa kusaidia Tanzania katika usambazaji wa umeme vijijini...
Serikali yatangaza hali ya hatari kwa waliokula fedha ya watumishi hewa... 02:17 0 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imeamua kupambana na wala rushwa ili kiasi kidogo cha rasilmali kilicholengwa kiweze kuwaf...
Jaji Mkuu: Sheria ya makosa ya mtandaoni haina lengo la kuwakandamiza Watanzania 02:12 0 JAJI MKUU wa Tanzania, Mohammed Chande Othman amesema sheria ya mitandao ilipitishwa kwa lengo jema la kulinda watumiaji, wanajamii na us...