Vigogo wa Shirika la Ndege Tanzania ATC watumbuliwa.... 06:33 0 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amewasimamisha vigogo wawili wa Shirika la Ndege Tanzania (ATC) kwa tu...
Vigogo, Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) watumbuliwa "MAJIPU" 09:55 0 SERIKALI imemuondoa katika nafasi yake Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS), Gerald Kamwenda na wakurugenzi wenzake, katika j...
Wabunge na wasomi wazidi kumwandama Kitwanga 16:37 0 Siku moja baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga kutimuliwa nafasi hiyo kwa ulevi, wabunge na wasomi wameendelea kum...
Mkurugenzi mtendaji wa zamani wa mamlaka ya bandari (TPA) na Naibu wake wana Kesi ya kujibu 18:43 0 Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Ephraim Mgawe na aliyekuwa Naibu wake, Hamad Koshuma wana kesi ya kujibu ya ma...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake waendelea kusota Rumande 18:25 0 Uamuzi wa ombi la kufutiwa mashitaka ya utakatishaji wa fedha lililowasilishwa na aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (...
Wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) watumbuliwa "MAJIPU" 18:00 0 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wazee na watoto Mh. Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi watendaji wakuu wa mfuko wa taifa wa bim...
Baada ya kumtimua Anne Kilango, Rais Magufuli asema ametuma watu kuwarekodi Mawaziri wanaolalamika ili nao awatumbue Majipu 19:40 0 Baada ya kumtimua Anne Kilango, Rais Magufuli asema ametuma watu kuwarekodi Mawaziri wanaolalamika ili nao awatumbue Majipu Rais wa ...
Naibu waziri ampa siku 7 kigogo wa shirika la utangazaji la taifa(TBC) baada ya kujimilikisha kiwanja cha shirika... 19:32 0 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura, ametoa siku saba kwa Meneja Rasilimali Watu wa Shirika la Utang...
Kamanda wa Polis mkoa wa Mwanza na vigogo wemgine wapanguliwa 19:10 0 Serikali imepangua uongozi wa vyombo vya dola mkoani Mwanza kwa kuwahamisha vituo vya kazi watendaji wakuu akiwamo Kamanda wa Polisi, Jus...
Rais Dkt. Magufuli amfukuza kazi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mama Anne Kilango Malecela 18:55 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanaia Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa mkoa wa Shinyanga mama Anna kilango Malec...