Mchungaji afariki baada ya kujaribu kuvunjarekodi ya Yesu..... 06:40 0 Lile andiko la usimjaribu bwana Mungu wako lililosemwa na Yesu Kristu limejidhihirisha baada ya mchungaji maarufu nchini Afrika Kusini, A...
Papa Francis kuzuru kisiwa cha Lesbos leo kuwaunga mkono wakimbizi wanaotaka kuingia ulaya 10:41 0 Papa Francis, leo atazuru kisiwa cha Lesbos kuonyesha kuwaunga mkono wakimbizi wanaojaribu kufika Ulaya.
Chuo kikuu cha Kiislam kilichopo Manzese chadaiwa kuchomwa moto 10:16 0 Akizungumza mbele ya Mbunge wa Jimbo la Ubongo, Saed Kubenea (Chadema), mlezi wa chuo hicho ambaye pia ni diwani wa Manzese kupitia chama...
Waliotoa siri za Ofisi ya Papa washtakiwa 06:56 0 Watu 5 wamefunguliwa mashtaka katika makao makuu ya kanisa katoliki Vatican,kwa tuhuma za kutoa na kuchapisha nakala za siri zinazoonyesh...
Makanisa mengine 3 yavunjwa na kuchomwa moto 16:34 0 Mfululizo wa uhalifu dhidi ya makanisa mbalimbali bado unaendelea katika Mkoa wa Kagera ambapo makanisa matatu yamevunjwa na samani zake ...
Mahujaji toka Tanzania waliofariki Macca wafika 6 wengine 50 awajulikani walipo 20:19 0 Kila sifa njema zinamstahiki Mwenye ezi Mungu Muumba wa viumbe vyote. Na rehma na amani zimshukie Bwana wetu Muhammad S.A.W, yeye na aali...
Mzee Mjuto asimulia alivyonusurika Macca Saudia 16:33 0 BAADA ya kutokea vifo vya mahujaji zaidi ya mia saba waliokuwa wakishiriki Hija karibu na mji mtakatifu wa Waislam wa Makka, staa wa filam...
Mahujaji 717 wapoteza maisha Mecca 22:16 0 Takriban mahujaji 717 wamepoteza maisha baada ya kukanyagana karibu na mji mtakatifu wa kiislam, Mecca nchini Saudi Arabia. Watu wengine ...
Mahujaji wanne wa Tanzania wafariki Mecca 18:55 0 Watanzania wanne wamethibitishwa kufa katika tukio la kukanyagana jana huko Mina katika mji wa Mecca, ikiwa ni miongoni mwa mahujaji 717 ...
Over 700 Muslims Killed and Injured While Trying To "Stone The Devil" In Saudi Arabia Hajj 20:01 0 More than 200 people have died and 390 injured in Saudi Arabia after a stampede of pilgrims at the desert plain of Mina, near the holy ci...
Eid mubarak wishes for Eid Al Adha 2015 09:36 0 We would like to wish you a happy Eid Al Adha. Eid Mubarak from the entire team of Paparaziwetu.
Kanisa katoliki sasa kuvunja ndoa 21:39 0 KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis jana alieleza mabadiliko mapya yanayolenga kuwarahisishia Wakatoliki kuvunja ndoa zao na k...
Gwajima afunguka....Asema haogopi mtu wala haogopi kufa, Awashangaa wanaomfuatilia huku wakiongea kwa kubana Pua 20:42 0 Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima,amesema haogopi mtu yeyote wala kufa bali ataendelea kuinyoosha nchi anapoona haiendi ...
Sheikh Ponda ashinda rufaa ya rufaa yake 01:38 0 Wafuasi wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ...
Waumini waleta vurugu kanisani wakimtuhumu askofu kuwa ni freemasons 10:09 0 Waumini wa kanisa la Anglikana Wilaya ya Nyamagana Mwanza walisimamisha kwa muda shughuli za ibada kanisani hapo baada ya kutokea vurugu ku...
Mchungaji aingia matatani baada ya kumtorosha mke wa mtu 18:57 0 Mchungaji anayejiita nabii na mtume, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) aliyetajwa kwa jina moja la Emmanuel amejikuta ndani ya ...
BAKWATA yatangaza sikukuu ya IDD EL HAJI 10:08 0 Baraza Kuu la Waislam Tanzania, BAKWATA limetangaza kuwa sikukuu ya Idd el Haji itafanyika siku ya Jumapili ya tarehe 5 Oktoba 2014. Akiz...
Idadi ya waliokufa katika kanisa la Nabii TB Joshua yafikia watu 50 00:02 0 Idadi ya watu waliokufa kwenye ghorofa la makao makuu ya Kanisa la SCOAN (Synagogue Church of All Nations) la Nabii TB Joshua wamefikia 50....