Mrema amtaka Lowassa akubali kwamba alishindwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana 12:25 0 Mwenyekiti wa Bodi ya Parole ambaye pia ni Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema amemtaka Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akubali kwamba ...
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange Ampongeza Dr Shein Kwa Ushindi 11:59 0 MKUU wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange, amemtumia salamu za pongezi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la M...
Matokeo ya awali ya Urais katika Majimbo 5 yanaonyesha Dr. Ali Mohamad Shein anaongoza 09:58 0 Matokeo ya awali ya Urais kwa majimbo ya OLE, Ziwani, Chonga, Wawi na Chake yanaonyesha kuwa Dr. Ali Mohamad Shein ndiye anaeongoza mpaka s...
Bajeti ya Marudio ya Uchaguzi Zanzibar yatengwa, ZEC yasubiriwa kutangaza Tarehe ya Uchaguzi.... 10:42 0 Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema bajeti ya uchaguzi wa marudio imeshatengwa na wanachosubiri ni Mwenyekiti...
Polisi Wavamia Kituo cha Kukusanya Matokeo UKAWA 19:05 0 Polisi jijini Dar es Salaam jana usiku walivamia kituo cha kukusanya matokeo ya nchi nzima cha Chadema kilichopo Kijitonyama na kuwakam...
Mabomu ya Machozi Yarindima Mwanza Kuwatawanya Wafuasi wa Chadema Walioingia Barabarani Kushangilia Ushindi 19:03 0 Polisi mkoani Mwanza jana walitumia mabomu ya machozi kuwatawanya watu wanaoaminika kuwa wafuasi wa Chadema walioingia mitaani kushan...
Vijana wawili wapigwa risasi na vikosi vya Usalama, Zanzibar 18:54 0 Kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja, taarifa ni kwamba wamepokelewa watu watatu waliojeruhiwa, wawili kati yao wakiwa wamepigwa risasi amba...
Ester Matiko (Chadema) ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge Tarime Mjini 18:29 0 Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Tarime Mjini, Mwanjombe limemtangaza rasmi Ester Matiko (Chadema) kuwa mshindi katika kinyang’anyiro cha u...
Tume ya taifa ya Uchaguzi imeanza kutangaza matokeo ya Urais..... 18:13 0 Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeanza zoezi la kutangaza Matokeo ya Urais ambapo mpaka sasa majimbo matatu yametangazwa. Maji...