Header Ads

Vikongwe wa miako 70 waonyesha mapenzi hadharani


Mohammed khalfan kikongwe wa miaka 78 mwenye ulemavu wa ukoma na mkewe Habiba Shomari miaka 68 hivi karbuni wameshangaza watu na kuzua taswira mpya pale walipokuwa wakitembea na kupigana mabusu hadhari kuonyesha bado wanapendana na sana.

Tukio hili lilijiri kwenye kambi ya walemavu wa ukoma ya chazi iliyopo katabya Chazi wilayani Mvomero mkoani Morogoro ambapo kulikuwa na kikao cha serikali za mtaa kutatua migogoro ya ardhi.

Mzee khalfan akizungumza na mwandishinwetu alisema hivi" Nampenda sana mpenzi wangu huyu ambaye nimefungane ndoa miaka 55 iliyopita ila tu Mungu akutujalia kupata motto hats mmoja, lakini tunaishi na mwenzangu kwa furaha na mapenzi mazito"

Duu in shida sana kwa wazee kama hawa ambao wanajua mini maana ya kupenda tofauti na vijana wa sasa,Jamani tuige mfano huu kutoka kwa vikongwe hawa......

No comments

Powered by Blogger.