Waziri Mkuu Akutana na Madudu Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) 19:48 0 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Bunge), Bw. Uledi Mussa afuatilie malipo ya kiwanja kil...
Waziri Mkuu Aagiza Orodha ya Wadaiwa Sugu DUWASA mkoani Dodoma 06:00 0 WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameagiza apatiwe orodha ya wadaiwa sugu wa taasisi zote za Serikali mkoani Dodoma ambao wamelimbikiza deni la ...
Waziri Mkuu Aeleza Mikakata ya Serikali Kuipanga Dodoma Isiwe Kama Dar es Salaam 10:15 0 WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imeunda timu ya wataalamu ambao watatoa ushauri juu ya suala zima la kuhamishia makao makuu D...
Waziri Mkuu Atoa Mwezi Mmoja kwa Watumishi Waliohamishiwa Kibiti Kuripoti Kituoni 12:30 0 Waziri mkuu, Kassim Majaliwa ametoa mwezi mmoja kwa watumishi waliohamishiwa wilaya mpya ya Kibiti mkoani Pwani kuripoti katika kituo chao ...
Waziri Mkuu Majaliwa Awasimamisha Kazi Maofisa Misitu Wanne, Apiga Marufuku Uvunaji Magogo Rufiji 08:09 0 Waziri mkuu, Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Maofisa Misitu wanne na kusimamisha shughuli za uvunaji wa mazao ya misitu wilayani Rufiji...
Waziri Mkuu Aongoza Wananchi Kuaga Miili ya Waliokufa kwa Tetemeko 05:12 0 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameongoza maelfu ya wananchi wa Manispaa ya Bukoba mjini kuaaga miili ya watu 16 waliofariki kutokana na tetem...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Akagua Makazi Yake Mapya Dodoma. 12:18 0 WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa makazi mapya ya Waziri Mkuu katika eneo la Mlimwa na kuagiza umalizike kwa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Azindua Ripoti ya Hali ya Hewa Barani Africa 07:48 0 WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Afrika wajiulize wanaweza kuchangia kitu gani katika kuboresha maisha ya mamilioni ya wa...
Waziri Mkuu Apokea Hundi ya Sh. Mil. 50 Kutoka NSSF 19:24 0 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amepokea msaada wa sh. milioni 50 kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ili kusaidia ujenzi wa sh...
Waziri Mkuu Akaribisha Wawekezaji Kutoka Japan. 13:30 0 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewakaribisha wawekezaji kutoka Japan na kusema kwamba kufanyika kwa Mkutano wa Sita wa Kimataifa wa Tokyo kuh...
Waziri Mkuu: Hatua Zichuliwe Kwa Watumishi Wanaoiba Dawa 08:57 0 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri nchini kuwachukulia hatua watumishi wote wa sekta ya ...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Atembelea Kijiji Cha Katumba Wilayani Mpanda,azindua Mnara Uliojengwa Na Wakimbizi Waliopewa Uraia Wa Tanzania 08:51 0 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa wakimbizi waliopewa uraia wa Tanzania na kuitumia vibaya nafasi hiyo kwa kuingiza watu wengine ...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akabidhiwa mpango wa kuhamia Dodoma 20:37 0 MKOA wa Dodoma wakishirikiana na Mamlaka ya Ustawishaji wa Makao Makuu (CDA) wametekeleza agizo la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa la kuanda...
Waziri Mkuu ayakataa madawati yaliyotolewa na Tfs 20:29 0 Waziri mkuu, Kassim Majaliwa amekataa kupokea msaada wa madawati uliotolewa na Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) baada ya kubaini yame...
Wakurugenzi watakaotoa taarifa za uongo kufutwa kazi 11:48 0 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haitasita kuwaondoa katika nyadhifa zao Wakurugenzi wote watakaoshiriki katika kutoa taari...
Waziri Mkuu asema Sukari haitakuwa tatizo Ramadhani 19:10 0 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema sukari haitakuwa tatizo katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na wakuu wa mikoa wamepewa maelekezo kilo ...
Jaji Mkuu: Sheria ya makosa ya mtandaoni haina lengo la kuwakandamiza Watanzania 02:12 0 JAJI MKUU wa Tanzania, Mohammed Chande Othman amesema sheria ya mitandao ilipitishwa kwa lengo jema la kulinda watumiaji, wanajamii na us...
Mahakama ya mafisadi kuanza Julai mwakaa huu....... 18:31 0 WAKATI Rais John Magufuli akisisitiza kuwa utumbuaji majipu utaendelea kufanyika hadharani bila kificho, pigo jingine kwa waliotumbuliwa ...
Waziri mkuu kuwa mgeni rasmi harambee ya shule ya sekondari ya Iyunga 09:54 0 Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika harambee itakafanyika leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza kwa ajili ya ...
Jibu lingine latumbuliwa na Waziri Mkuu, Majaliwa.....Ni wizara gani? Bofya hapa fasta kujua...... 10:14 0 Rungu la kuwatumbua majipu watumishi wa umma wasiowajibika limetua kwa Mhandisi wa Maji Wilaya ya Chato, Peter Ngolemi baada ya Waziri Mk...