AIBU.. Wanafunzi wapagawa baada ya kukaa mda mrefu bila kusikia sauti ya kiume..
Wanafunzi wa shule mmoja ya wasichana huko Morogoro-Mang'ula wamepatwa na ugonjwa wa ajabu kwa kile kinachosemekana ni tamaa za kimwili baada ya kukaa mda mrefu bila kuona wanaume au hata kusikia tu sauti zao... Mkuu wa shule hiyo bibi..jina limehifadhiwa... alipoongea na mwandishi wetu alisema kuwa walikuwa wanawadhiti wasicha hao iliwafanye vizuri katika masomo yao ila kutokana na tatizo hili lililotokea wanawaadalia part ambayo watawaalika vijana wa shule jirani wacheze nao mziki kwa siku moja...
Haya ndo mambo ya xul bhana kama ulimisi mambo haya basi endelea kuangalia hapa na kuwa nasi mda wote
No comments