Mfanyakazi wa ndani afumwa akiliwa Denda nje kweupee...
Mambo  mengine yanafurasha kweli maana kwa mimi ninavyojua ni kwamba mapenzi  yanaitaji sehemu tulivu na yenye kufurahisha ili kila mmoja awe huru na  kujiachia sasa kwa hawa waliokuwa wanafanya mapenzi jikoni sijui  walikuwa wanajirisha tu tamaa zao za kimwili au ni kwalengo la  kutamaniana tu.... Kweli kwastaili hii Mapenzi yatadhidi kupungua  thamani kwa kiasi kikubwa mnoooo..... Tuyathamini mapenzi ilituyafurahie  na si kufanya kwa lengo la kuridhisha miili yetu tu na waletunaofanya  nao... 

No comments