Header Ads

Mapenzi haya ni shidaaa..Penzi la Shilole na Mziwanda hiki ndicho kilichojiri Instagram

Mapenzi ya Nuh Mziwanda na Shilole yaliyoripotiwa kuvunjika hivi karibu yamerudi kwa nguvu zaidi siku ya jana   ambapo  wapenzi  hao walisambaza  picha kupitia account zao za  Instagram wakiwa pamoja kama ishara ya mapenzi yao kuongezeka zaidi.
 
Nuh na Shilole wote waliweka picha instagram kuonyesha wamepatana na mapenzi yatadumu zaidi ya miezi kadha iliyotabiriwa.
 

 


No comments

Powered by Blogger.