Header Ads

Ajali ya gari eneo la Afrikana jijini Dar

Gari aina ya Nissan Hard Body lenye namba za usajili T524 ALW likiwa mtaroni baada ya ajali.
Lori lililogonga gari ndogo likiwa mtaroni pia huku mvua ikinyesha.
Lori hilo lenye namba za usajili T590 BST.
Raia wakishuhudia Nissan likiwa mtaroni.
Zoezi la kutoa gari hilo mtaroni likiendelea.

Muonekano wa gari hilo baada ya kutolewa mtaroni likiwa limeharibika vibaya.
Dereva wa gari hilo la Nissan Hard Body akilitazama gari lake kwa karibu lilivyoharibika.
Ajali hii imetokea leo mchana eneo la Jogoo, Afrikana jijini Dar es Salaam baada ya trela lenye namba za usajili T590 BST kuligonga gari dogo aina ya Nissan Hard Body lenye namba za usajili  T524 ALW na kulitupa mtaroni. Hakuna aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.

No comments

Powered by Blogger.