Header Ads

MAN YAKUBALI KICHAPO KINGINE KUTOKA KWA STOKE,Mayoes kichwa chini....

 MABAO mawili ya Charlie Adam yameipa Stoke City ushindi wa kwanza kabisa kihistoria dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Britannia.

                   Adam akishangilia ushindi wake  dakika  38 na 52,

                    Robin van Persie.akishangilia lake pekee dakika ya 47

Kiungo mpya wa United, Juan Mata alicheza kwa dakika zote 90 na hakuweza kuwaepusha Mashetani hao Wekundu na kipigo. United sasa inabaki na pointi 40 baada ya kucheza mechi 24 na inaporomoka hadi nafasi ya saba kutoka ya sita.


 Charlie Adam (katikati) akishangilia na Mark Hughes baada ya kufunga mabao mawili yaliyoifanya Stoke imalize ukame wa ushindi ndani ya mechi sita

Mikosi: Kocha David Moyes ameendelea kuwa katika wakati mgumu Man United

kikosi cha Man United: De Gea 6; Smalling 6, Jones 5 (Welbeck 44, 5), Evans 6 (Rafael 11, 6), Evra 7; Carrick 6, Cleverley 6; Mata 7, Rooney 6, Young 6; Van Persie 7 (Hernandez 79, 6).

kikosi cha Stoke: Begovic 7; Cameron 7, Shawcross ,7 Wilson 5, Pieters 6; Odemwingie 6, Adam 8, Whelan 7 (Palacios 83), Arnautovic 7 (Assaidi 72, 7), Walters 7 (Ireland 60); Crouch 6

Mechi nyingine zilizochezwa jana na matokeo yake
 Newcastle United      0 - 3     Sunderland
 West Ham United     2 - 0     Swansea City
 Cardiff City              2 - 1     Norwich City
 Everton                   2 - 1      Aston Villa
Fulham                    0 - 3      Southampton
Hull City                  1 - 1     Tottenham Hotspur
   



No comments

Powered by Blogger.