ANGALIA PICHA YA BINADAMU ALIYETAJIRIKA KUFUATIA KUJIBADILISHA MWILI WAKE NA KUWA KAMA MJUSI HUKO KWA WENZETU.
Kumekuwa
na Uvumi kwamba huenda nyota huyo wa moenesho ya vipindi mbali mbali
vya kutisha angefanya mpango aoteshwe mkia, lakini mwenyewe amekanusha
na kusema jambo hilo haliwezekani.
Mbali na shows kibao amekuwa mwandishi mzuri wa jinsi ya kuubadilisha mwonekano mwa mwili kupitia Body Transformation E-Zine
Lizard Skynyrd ndo jina la Bendi yake ambayo imekuwa ikizunguka sehemu tofauti tofauti duniani kwa matamasha mbali mbali
Lizard Skynyrd ndo jina la Bendi yake ambayo imekuwa ikizunguka sehemu tofauti tofauti duniani kwa matamasha mbali mbali
No comments