Header Ads

kijana ajiuwa kwa kujilaza kwenye reli ya treni ya mizigo

Hivi punde kumetokea tukio la kutisha huko Sobral,Caera-Brazil baada ya kijana mmoja aliyechukua maamuzi magumu juu ya maisha yake.kijana huyo ambaye jina  na  chanzo cha yeye kujiuwa hakijafahamika mpaka sasa aliamua kujialaza katika reli na kupitiwa na treni ya mzigo katika mgongo wake na kumsababishia kupoteza maisha yake.
Police katika jimbo la Caera wanaendelea na uchunguzi watukio hili na hutambuzi wa ndugu wa marehemu.

Katika tukio hili mashuhuda mbalimbali walisikika wakisema "Kama kijana huyu alifikia huamuzi huu na bora angeweka kichwa ili afe na kumpunguzia maumivu kwani kuweka kwake tumbo kunamchelewesha na  atakabla ya kufa angeweza kujutia kutoka na maumivu hayo"

No comments

Powered by Blogger.