Header Ads

Dunia inamambo kweli embuangalia kisa cha mume huyu kumpiga mke wake

Katika hali ya kustaajabisha jamaa mkazi wa bujumbura ampa mkewe kichapo nusura kuua kisa kikiwa kutofundishwa jinsi ya kutumia facebook, sasa jamani kwa style hii mbona ni hatari sana maana tutauwa wake zetu pasipo kuwa na sababu ya maana kama hili, jaman elimu zetu zitu saidie basi kutukomboa katika hali hii ya kusikitisha na ya ujinga.

No comments

Powered by Blogger.