ANGALIA PICHA ZA MTUHUMIWA WA WIZI ANUSURIKA KUUAWA KWA KIPIGO CHA WANANCHI DAR ES SALAAM
Mtuhumiwa
wa wizi akiomba kusamehewa wakati mtu mwenye hasira kali akijiandaa
kumtupia tofali kichwani ambalo lilimjeruhi vibaya mtuhumiwa huyo.
Mwananchi mwenye hasira akimsulubu mtuhumiwa huyo kwa teke.
Akisulubiwa kwa bakora na mmoja wa wananchi waliochoshwa na wizi.
...Akiendelea kusulubiwa kabla ya kupelekwa polisi.
Baada ya kulainika akawa anapelekwa polisi.
Kutokana
na kipigo jamaa huyo alianguka hatua iliyofanya watu hao wenye hasira
kutawanyika eneo la tukio, wakidhani mtuhumiwa amekufa.
MTU mmoja
aliyetuhumiwa kuwa ni mwizi amenusurika kufa baada ya kundi la wananchi
kumpa kipigo cha maana, leo mchana katika eneo la Mbezi-Darajani, Kawe
mjini Dar es Salaam. Mtu huyo ambaye jina lake halikuweza kupatikana
mara moja inadaiwa alikutwa akiruka geti kuingia ndani kwenye nyumba ya
mkazi moja wa eneo hilo. Picha zifuatazo ni baadhi ya matukio wakati
mtuhumiwa huyo alipokuwa akipata kichapo hicho.
No comments