MWENYEKITI WA CCM ATIKISA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA TUNGI MANISPAA YA MOROGORO
Mgombea
wa Udiwani Kata ya Tungi manispaa ya Morogoro Kupitia CCM Ndugu Mzeru
Paulo Akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Mogogoro Mh Juliana
Mwenda Wakiwa Katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Udiwani kata ya
Tungi.Kata hiyo inafanya Uchaguzi Mdogo wa Udiwani Baada ya Aliyekuwa
Diwani Kata Hiyo Mh Mbao Mbao Kufariki Dunia Mwaka jana mara baada ya
kusumbuliwa na Ugonjwa kwa Muda Mrefu.Uzinduzi Huo Umeambatana na
Uzinduzi wa Sherehe za Chama cha Mapinduzi za Kutimiza Miaka 37.
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Morogoro Na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh
Innocent Kalogeris Kulia akiwa na Katibu wa CCMwilaya ya Morogoro
Katikati Pamoja na Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Romuli John leo
wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kata ya Tungi.
Katibu
wa Itikadi na Uenezi Mkoa wa Morogoro Mh Doroth Mwamsiku Aliyevaa Kofia
Nyeusi Akiwa Pamoja na Mgombea wa Udiwani Kata ya Tungi manispaa ya
Morogoro Kupitia CCM Ndugu Mzeru Paul
Mwenyekiti
wa Umoja wa wanawake Mkoa wa Morogoro na Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa
wa Morogoro Mh Mariam Kyaman Kushoto Akiwa na Mbunge wa Viti Maalum
Kupitia Umoja wa Vijana Mkoa wa Morogoro Mh Sara Msafiri
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro Mh Juma Nondo Kushoto Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Romuli John
Wakazi wa Kata ya Tungi waliojitokeza kwa Wingi
Katibu
wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Romuli John Akizungumza Leo Wakati wa
Uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Kta ya Tungi manispaa ya Morogoro
Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Abdulaziz Mohamed Abood Akizungumza leo
katika kata ya Tungi wakati wa Uzinduzi wa Kmpeni za Uchaguzi Mdogo wa
Udiwani kata ya Tungi Manispaa ya Morogoro
Mwenyekiti
wa CCM Wilaya ya Morogoro Vijijini Mh Jaza Akiwa na Mbunge wa Jimbo la
Morogoro Kusini Mashariki Mh Lucy Nkya wakati wa Uzinduzi wa Kmpeni za
Udiwani kata ya Tungi
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Morogoro Na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mh
Innocent Kalogeris Akimnadi Mgombea wa Udiwani Kata ya Tungi manispaa
ya Morogoro Kupitia CCM Ndugu Mzeru Paulo
No comments