Header Ads

MAMA MKWE AMPIGA MKWE WAKE KWA KUTOKUWA NA UWEZO WA KUMPA BINTI YA MIMBA

Thembelani Dube mkazi wa Nigeria alipokea kichapo kutoka kwa mama mke wake bi. Onzilina Mpala kwa kisa kilicho daiwa kuwa ni kushindwa kupata mjukuu wa pili kwa mke wake, Virginia Ndlovu.
Wanandoa hao wana mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 3 na mke pamoja na mama mkwe wana mlaumu Dube kwa ukosefu wa mtoto mwingine.

Ingawa  inadaiwa kwamba Dube ana mtoto wa miaka mitatu mke alilalamika kwa mama yake kuwa mumewe huyo alishindwa kupata mtoto mwingine kwani alikuwa dhaifu katika kitanda na kwahiyo alishindwa kumtia mimba. Ila Dube alilalamika kwa kusema kuwa mkewe Virginia alikuwa akitembea na wanaume wengine akidai kuwa wao ni bora kuliko yeye na hivyo kumnyima haki yake ya ndoa na ndiyo sababu ya yeye kushindwa kumpa mke wake mimba.
Na ndipo mama mkwe wake alipo kuja na kuanza kunituka akisema si staili kuwa na binti yake na kunishambulia,Alimalizia kusema Dube

No comments

Powered by Blogger.