JUAN MATA AKABIDHIWA JEZI NAMBA 8
Juan Mata akabidhiwa jezi Man United " jezi namba 8"
Baada ya kukamilisha usajili na vipimo mwishoni mwa siku ya jumamosi Joan Mata amekabidhiwa rasmi jezi namba 8 baada ya kuhama kutoka Chelsea kwenda Old Trafford.
Mshambuliaji huyo wa Hispania ameanza mazoezi baada ya kujiunga na timu hiyo mpya siku mbili zilizopia na mashabiki wanaweza kumuona dimbani kwa mara ya kwanza dhidi ya Cardiff siku ya Jumanne jioni.

No comments