WAFANYA BIASHARA WA NGUO ZA NDANI WAFANYIWA OPERESHENI KALI NA TBS katika masoko ya Moshi
Mmoja wa
wauzaji wa nguo za mitumba katika soko la Meimoria akiwa amejificha
chini ya meza ya kuuzia nguo kukwepa askari polisi pamoja na maofisa wa
shirika la viwango Tanzania (TBS) wakati wakifanya operesheni ya
kukamata wauzaji wa nguo za ndani.Mwananmke huyo alitoka chini ya meza
baada ya kubembelezwa na wenzake hata hivyo wakati askari polisi
akimtaka kwenda kupanda gari la polisi mwanamke huyo alikimbilia tena
chini ya meza hiyo,askari polisi wakalazimika kumucha.
Askari
polisi wakikusanya nguo za ndani katika soko la Meiomoria wakati wa
operesheni ya kukamata wauzaji wa nduo hizo zilizopigwa marufuku.
Askari
polisi akimsindikiza mwanamke mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara
moja baada ya kukutwa akiuza nguo za ndani zilizopigwa marufuku katika
soko la Meimoria mjini Moshi.
No comments