Beyonce na Jz walifungua sherehe hiyo ya 2014 Grammy awards jana ucku kwa wimbo wa "DRUNK IN LOVE". Beyonce alionekana katika Grammys kama hajavaa kitu kwani nguo yake ilikuwa ikionyesha maumbile yake ya ndani.
No comments