FULHAM YAZIBA PENGO LA BERBATOV KWA KUSAINI STRIKER LA UGIRIKI
KLABU ya Fulham imeziba pengo la Dimitar Berbatov kwa kukamilisha usajili wa kimataifa wa Ugiriki, Kostas Mitroglou.
Berbatov ameruhusiwa kwenda Monaco kufanyiwa vipimo vya afya kwenda kucheza timu hiyo ya Ufaransa.
The Cottagers imeziba pengo lake kwa kumsaini Mitroglou kutoka Olympiacos kwa Pauni Milioni 12.4.
No comments