Sababu zinazofanya Uume kushindwa Kusimama/Kulegea wakati wa kufanya mapenzi
Kuna sababu za kisaikolojia (psychological) zinazochangia kusababisha uume kushindwa kusimama wakati wa kufanya mapenzi/kujamiiana:
Zifuatazo ni sababu za kisaikolojia zinazochangia kupungua kwa nguvu za kiuume wakati wa kujamiana na vile vile hutokana na damu inayojaza mishipa ya damu katika uume kushindwa kufika kwa wakati, na kuharibiwa kwa neva zinazopeleka habari au taarifa katika ubongo juu ya tendo hilo.
Sababu zingine ni pamoja na;
- Magonjwa ya mishipa ya damu
- Kisukari
- Kutumia baadhi ya madawa kwa muda mrefu
- Magonjwa ya neva za fahamu
- Kufanyiwa upasuaji katika uume,au kupata ajalina kusababisha uume kuumia au kufanyiwa kipimo cha mionzi (radiation) sehemu za uumeni.
No comments