Header Ads

PICHA: Rais Obama alipokuwa mtoto na babu yake beach

Picha hii ni ya kitambo sana na imezunguka sana mitandaoni lakini leo nimependa kushare na wewe mdau wangu kwani ni kweli tunaweza sisi ambao wanatuita Black people.

Je,uoni kama ni jambo la kushangaza na kufurahisha kumuona mtoto huyu mwenye ngozi na asili ya kiafrica kuongoza nchi kubwa  na yenye nguvu duniani,,,,

Kweli inapendeza sana mdau na kila kitu kinawezekana jana alikuwa yeye na kesho ni wewe pambana na maisha pasipokukata tamaa huwezi jua ridhiki yako ipo upande gani..

No comments

Powered by Blogger.