Header Ads

Lulu amfungukia haya Marlow....Bofya hapa kujua zaidi

Mrembo na star wa bongo movie mwenye jina kubwa toka utotoni, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambae ni mshabiki mkubwa wa muziki na wanamuziki wa hapa bongo kwani mara kadhaa amekuwa akijitokeza na kuelezea hisia zake kuhusu nyimbo mbalimbali na wasanii mabilmabli kama Diamond, Ally kiba, Yamoto Band na wengine wengi kibao anavyowakubali.
Kwa mara nyingine tena leo kupitia mtandaoni ameonyesha hisia zake za kum-mis msanii  wa bongo Fleva ,Marlow ambae ajaonekana kwenye game kwa muda mrefu na ni baada tu ya kuingia kwenye ndoa.

Na hiki ndicho alicho kiandika;
 "Kwani tulikukosea nini kaka!??? mbona ukatuonjesha na kutuondolea burudani tena!??? I believe ur talented tena sio kidogo, sio kwa kubana pua, sio kwa kusingiziwa pengine majukumu ya ki kazi au ya kifamilia yamebana. Lakini naamini u have something to offer the whole world....Rudi msaidiane kuendelea kupeleka mziki unapotakiwa kufika jmn...! I'm a fan...a big fan unajua sana yani. Marlow Mkali"-Lulu alisema.

No comments

Powered by Blogger.