Header Ads

UDAKU!!! Mke wa mtu sumu..Patcho Mwamba apokea kichapo kikali kisa mke wa mtu..

Patcho Mwamba apokea kichapo kichapo kikali kwa kile kinachosemekana kuwa kisa amefumaniwa na mke wa mtu, mwigizaji  na mwanamuziki wa Dansi Patcho Mwamba, amepewa kipigo cha nguvu hadi kumvimbisha uso kama unavyomuona kwenye picha, baada ya kufumaniwa na mke wa mtu.
Habari hizi zinaenea kwa kasi zaidi mtandaoni kama moto wa vifuu…hakuna taarifa rasmi juu ya kinanani ,na wapi hasa tukilo hilimetokea,japokuwa inasemekanai ni usiku wa krismas. Hadi sasa sio Patcho mwenyewe au watu wake wakaribu hawajajitokeza kukanusha taarifa hizi.

Endelea kuwa nasi ilitukujuze zaidi juu ya tukio hili.

No comments

Powered by Blogger.