Header Ads

Siku za Sikukuu ukiona Mpenziw wako anakukwepa ujue Unamegewa

Hizi Siku Za Sikukuu Na Weekend Ndo Siku Ambazo Michepuko Uasherati Unafanyika So Kwa Wale Ambao Wako Kwenye Mahusiano Alafu Wamepanga Appointment Leo Alafu Mambo Yamebuma Ujue Unamegewa,na Wale Ambao Wameoa Alafu Wake Zao Wamepata Safari Za Ghafla Mara Naenda Kumuona Mama Au Shangazi Ujue Unaibiwa.
Ukiona Mumeo Naye Anakuambia Kuwa Anaenda Kutembea Kwa Washkaji Zake Ujue Kuna Michepuko. Hivyo Siku Kama Ya Leo Wenye Familia Walipaswa Kutoka Na Familia Zao Na Wanandoa,wachumba ,na Wapenzi Pia Nao Walipaswa Kutoka Pamoja.

No comments

Powered by Blogger.