Header Ads

Taadhari picha zinatisha!!! Mmiliki wa samaki samaki Morogoro avamiwa na kujeruhiwa vibaya....

Mkurugenzi mtendaji wa Nyumbani Park & Samaki Sport Farida mess Matlou alivamiwa na majambazi na kumjeruhiwa vibaya pamoja na kuporwa kiasi kikubwa cha fedha ambacho mpaka sasa aijajulikana ni kiasi gani. Tukio hilo la aina yake lilitokea wiki iliyopita usiku wa tarehe 19 kuamkia 20 maeneo ya nyumbani kwake Kihonda.
Kwa taarifa zilizofikia katika mtandao huu ni kwamba tayari watu wawili wamekatwa kuhusishwa na tukio hilo na uchunguzi bado unaendelea.

No comments

Powered by Blogger.