Header Ads

DUNIANI KUNAMAMBO: Mchumba wangua amepata mimba na kuzaa angali yu Bikra!!! Soma hii hapa...

Mimi nina mchumba wangu ambaye ni mkristo mwenye imani sana na dini yake. Mtaratibu, mpole, na ana heshima sana. Katika mahusiano yetu hatujawahi kufanya mapenzi mpaka tutakapofunga harusi na pia alidai yeye ni bikra. Nilipata safari kwa mda nimerudi nimemkuta amejifungua mtoto wa kiume. Nimeshangaa namuuliza kulikoni, anajitafuna tafuna tu, mara hivi mara vile. Mara sjui mimba imetoka wapi yani haeleweki anachokisema..
Hapa nimeanza kupata shaka naombeni ushauri!

No comments

Powered by Blogger.