Header Ads

HOTNEWSS... Wafunzi wa chuo cha mzumbe waua mwizi

Wanafunzi wa mzumbe main campus Morogoro wameua mwizi aliyeiba laptop kutoka mabweni mawili tofauti.
Taarifa zaidi zinasema uuaji huo umetokea na hasira kali za wanafunzi hao kuibiwa laptop kila siku na pia mwanafunzi mwenzao kuvamiwa barabarani na kujeruhiwa na visu siku zilzopita.


No comments

Powered by Blogger.