Header Ads

Anusurika kufa baada ya kugongwa na bodaboda Dar

Mwanamke mmoja ambaye jina lake halikufahamika amenusurika katika ajali  baada ya kugongwa  na bodaboda  (pikipiki) maeneo ya Ubungo mnamo saa tano asubuhi wakati akikatiza barabara mbele ya daladala lililokuwa limesimama.  Mwanamke huyo ambaye alianguka alionekana kuwa na maumivu katika mkono wake wa kushoto.
Kundi la watu likiwa limemzunguka mwanamke aliyegongwa na bodaboda.  Kushoto (mwenye bodaboda akiwa na shati jeupe) ni mtu aliyemgonga mwanamke huyo.

No comments

Powered by Blogger.