Header Ads

Angalia picha ya tuzo za Diamond, aliyopost na kuuliza swali

Kama kweli una macho mazuri heb niambie hizo ziko ngapi....? dah! ila bado naikumbuka tunzo yangu moja iloibiwaga zamani...watu bwana, eti naskia waliambiwa na mganga ili mimi nishuke waniibie tunzo yangu moja halaf waipeleke kwake......
[if you really gat Strong eyes please tell me How many trophies are there...? ]

No comments

Powered by Blogger.