Upepo mkali uliovuma Zanzibar, Unguja waezua nyumba na kuharibu mazingira
Upepo uliovuma kwa dakika kumi katika eneo la pongwe wilaya ya kati mkoa wa kusini unguja umeezua paa za nyumba 11, kung'oa miti na kusababisha uharibifu wa mazingira .
Akitoa taarifa kamanda wa polisi mkoa wa kusini Unguja SACP kamishna msaiidzi Juma Saad Khamis amemsmea upepo mkali ulitokea mchana na ulikuwa waghafla kiasi cha kuwachanganya wakaazi wa eneo hilo la Pongwe pwani na kusababisha hasara kubwa kwa familia za wananchi hao.

Nae mkazi wa eneo hilo Said Juma Nyange ameelezea jinsi upepo huo ulivokuja na kuharibu mali za wanaanchi huku Sheha huyo akielzea hatua zinazochukuliwa na hasara zilzopatokea.
Hata hivyo wakati upepo huo umeleta hasara kubwa hapakuwepo na taarifa yeyote ya tahadhari au onyo lolote kwa wanaanchi wa mkoa huo kutoka mamlaka ya hali ya hewa afisi ya Zanzibar kuijiandaa na upepo huo.

No comments