Header Ads

Mwendo kasi wamponza dereva wa Noah....

paparazi 
Gari aina ya Noah likiwa ndani ya mto baada ya kukosea njia na kutumbukia mtoni. Daraja hili liliharibiwa vibaya na Roli tarehe 19/06/2014.
Daraja hili linalounganisha Ukonga (Banana)- Tabata Segerea- Kinyerezi na Mbezi.
Gari hiyo baada ya kutumbukia mtoni kisa kikiwa mwendo kasi wa dereva.
Hii ndio speed inayoruhusiwa unapokaribia kwenye daraja hili.

Kinachosikitisha ni kuwa katika daraja hili liloharibika  kuna kibao kinachoonesha kuwa barabara  imefungwa na kuna kamba  ya njano na nyekundu zikionesha kuwa hakuna njia lakini cha kushangaza  dereva wa gari hilo aina ya Noah aliweza kukata kamba hizo na kutumbukia mtoni hii imetokana na mwendo kasi aliokuwa nao.


No comments

Powered by Blogger.