Baada ya mlipuko wa Bomu Arusha hapo jana Hali si shwari kabisa.....Andalia picha hizi
Kijana ambaye hakufahamika jina lake baada ya kupata majeraha makubwa mguuni.

Hali ya sintofahamu iliyowakumba wakazi wa jiji la Arusha baada ya bomu kulipuka jana.
Majeruhi baada ya bomu kulipuka.
Mmoja wa maeruhi akiwa hoi baada ya mlipuko.
No comments