PICHA SI NZURI... MAAFA YATOKEA NIGERIA KUFUATIA MLIPUKO WA BOMU....Soma zaidi hapa
Asubuhi ya leo kumetokea tukio la kusikitisha huko Nijeria ambalo limesababisha maafa ya watu kadhaana majeruhi wengi zaidi.
Milipuko
huo ambao ulitokea katika kituo cha Mabasi kukiwa na msongamano wa
magari, asubuhi ya leo wakiwa tayari kuelekea makazini kwao.Inasemekana
kuwa kunamoja kati ya mabasi lilikuwa na bomu.






No comments