Header Ads

Taadhari picha si nzuri...Anusurika kufa akijaribu kutoa mimba.

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 23 kutoka mji wa Krabi kusini mwa Thailand anusurika kufa baada ya kunywa vidonge kwa kusudio la kuuchoropoa ujauzito wa miezi mitatu.

Mwanamke huyo alipoteza matumaini ya kuishi baada ya ujauzito huo kuanza kumpelekesha mara tu baada ya kumeza vidonge hivyo vinavyotumiwa na wanawake wengi katika kutolea mimba.
Baada ya hali yake kuwa mbaya ndipo watu wa karibu na mjamzito huyo waliamua kuwasiliana na madaktari kuomba usaidizi kwani hali yake ilikuwa mbaya.

Madaktari walifanikiwa kufika katika eneo la tukio   na kutoa msaada wa haraka wa kukitoa kijusi hicho kuonyesha baadhi ya nyama zake nje ya mwili wa mama huyo.
Madaktari hao walifanikiwa kukitoa kijusi hicho salama na kumpeleka mwanamke huyo hospitali kwa usaidizi zaidi wa kiafya kwani hali yake ilikuwa ni mbaya.

Hali ya mama huyo bado haijaimarika vizuri hivyo bado yupo chini ya madaktari hayo akipatiwa matibabu hospitalini hapo.

picha zaidi katika tukio hilo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!






No comments

Powered by Blogger.