Wema Sepetu amsindikiza Diamond airport kwa safari ya kwenda Nigeria......
Mrembo Wema Sepetu akiwa na mpenzi wake Diamond leo asubuhi uwanja wa ndege wa mwalimu Julius Kambarage Nyerere tayari kwa safari ya kueleke Nigeria, Diamond anaelekea Nigeria kufanya video yake mpya na pia kufanya collabo mpya na wanaigeria pamoja na waghana...Diamond ameambatana na manager wake Babu Tale....
No comments