Header Ads

Lulu Michael atokelezea hivi kwenye ukurasa wa mbele wa Vibe Magazine...

Muonekano wa Lulu katika ukurasa wa mbele wa vibe magazine ambao muonekano wake ni kama Rihanna
 
Masaa machache tu baada ya lulu kupost mwonekano wa mbele wa jarida la VIBE utavyoonekana, Watu wengi wameanza kumshambulia kwa kuiga pozi la Rihana alilotumia katika Jarida GQ mwaka jana. Wengi wamelalamika na kusema kuwa amejishusha sana na uchafua sifa ya gazei hilo kwa ku-copy na ku-paste.

Baada ya taarifa hizo kumfikia lulu alikua na haya ya kusema. “Doh naona imekuwa TOPIC ila sishangai Nina hiyo damu ya kufanya kitu na kikawa gumzoooo…!nadhani kitu kimoja watu hamuelewi Ku Copy na Ku Paste huko mnakosema nyinyi cdhani Kama mnakuelewa…!hapa kilichofanana ni idea tu na sivinginevyo…!na ofcoz dunia tunayoishi hakuna kitu kipya ni vitu vile vile ila vinafanyika kwa namna ya tofauti….majadiliano hayakuwa mabaya coz ndo inamaanisha habari imefika vilivyo….nimejaribu kuiweka vizuri mana watu mpaka vidole vinakaribia kupata sugu kwa kuandika comment hehehe…!

No comments

Powered by Blogger.