USIPENDE KUUINGILIA UGOMVI WA MTU NA MPENZI WAKE angalia picha hizi
Mwanamke
ashusha kipigo kwa mwanaume aliyedaiwa kuwa ni mme wake Bar, kwa madai
ya kutoonekana nyumbani! Tukio hilo lililtokea eneo la Corner Bar Sinza
Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Wakazi wa Dar es Salaam wakishuhudia kichapo alikuwa akishushwa mwanaume huyo.
Mwanamke akishusha pumzi baada ya kupunguza hasira zake
Baada ya kupigwa na mwananke anayesadikiwa kuwa mpenzi wake
Mwanamke huyo akimhoji mwanaume huyo kabla ya kumaliza ugomvi
Mwanume akimkumbatia kumtuliza huku akilia
Ugomvi ukifikia ukingoni
No comments