Kwa
haraka haraka hao ni wakosaji,walidharau amri za mahali fulani kwa
bahati nzuri wakakutana na aliyetunga amri hizo,sasa wameambiwa wapige
mbizi ambaye hataonekana kabisa nikimaanisha atakayezamia kwa sekunde
kumi atakuwa amepona.angalia hapo kila mtu ana style yake.
No comments