MAN CITY YARUDI KILELENI BAADA YA KUIFUNGA TOTTENHAM 5-1 …
Kufuatia ushindi huo, City sasa wamekaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya England.
Manchester City wanakuwa wamejivunia jumla ya magoli 11 -1 dhidi ya Tottenham katika mechi zao mbili za Ligi Kuu msimu huu.
Magoli
ya City yalifungwa na Aguero 15, Toure 50 (pen), Dzeko 53, Jovetic 78,
Kompany 89 wakati lile la Tottenham lilifungwa na Capoue katika dakika
ya 58.
Tottenham ilipata pigo la mchezaji wake Danny Rose kutolewa kwa kadi nyekundu wakati huo City wakiwa wanaongoza kwa bao 1.
Tottenham:
Lloris 5; Walker 5, Chiriches 5, Dawson 5, Rose 5; Lennon 5, Dembele 4
(Capoue 46, 6), Bentaleb 5, Sigurdsson 5 (Naughton 55, 5); Eriksen 6
(Holtby 83), Adebayor 5.
Manchester City:
Hart 6; Zabaleta 7, Kompany 7, Dimichelis 7, Clichy 7; Navas 7, Toure 7
(Nastasic 63, 6), Fernandinho 7, Silva 8 (Kolarov 80); Dzeko 7, Aguero 8
(Jovetic 44, 7)
No comments