JUAN MATA AFAULU VIPIMO NA KUJIUNGA RASMI NA MAN UNITED
KLABU ya Manchester United imetangaza kumsajili Juan Mata kutoka Chelsea kwa ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 37.1.
Kiungo huyo wa Hispania alipokelewa na kocha David Moyes Jumamosi, na Mata anatarajiwa kuanza kuitumikia Man United katika mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Cardiff Jumanne Uwanja wa Old Trafford.
Mata akisaini Manchester United kwa dau la rekodi, pauni Milioni 37.
Mata akiwa na Moyes
Moyes akimkabidhi jezi ya Man United Mata
No comments