AJALI MBAYA YATOKEA MKOANI KILIMANJARO 67 WAHUTUTI, Soma zaidi hapa
Ajali ya kutisha yatokea karibu na njia panda ya kwenda uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport watu zaidi ya 67 wote wamejeruhiwa vibaya japo hakuna aliye fariki hapo hapo ila hali zao ni mbaya hasa madereva na makondakta wote.Ni baada ya lori Semitrela kugonga gari la kampuni ya LM Fusso.
Kwa mujibu wa paparazi wetu. Ajali hii ilisababishwa na gari husika aina ya fuso baada ya kufeli mfumo wa breki. Pia inadaiwa kuwa kuna mwendesha bodaboda aliyegongwa na kujeruhiwa na sasa yupo hospitali kwa matibabu.

No comments