CHADEMA NA MKUTANO WAO WA HADHARA WA OPERESHENI M4C PAMOJA DAIMA NDANI YA MTIBWA.
Mwanamuziki
wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele akiwahutubia wananchi wa Kata ya
Tungi mjini Morogoro jana, katika mkutano wa hadhaa wa Operesheni M4C
Pamoj Daima, ambao pia ulihutubia na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe.
Sehemu
ya maedlfu ya wakazi wa mji wa Ifakara, wakitawanyika baada ya mkutano
wa Operesheni M4C Pamoja Daima, ambao ulihutubiwa na Mwenyekiti wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe jana.
Mbunge
wa Kawe, Halima Mdee akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Mtibwa,
katika mkutano wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika jana, ambao
pia ulihutubia na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.
Baadhi
ya wa mji wa Ifakara wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe mbalimbali,
wakati wa mkutano wa Operesheni M4C Pamoja Daima, ambao ulihutubiwa na
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
jana.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokreasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Kawe,
Halima Mdee wakiondoka baada ya kuhutubia mkutano wa Operesheni M4C
Pamoja Daima, uliofanyika mjini Ifakara jana.
Mwenyekiti
wa Chama ch Demokrasia na Mendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
akiwahutubia maelfu ya wakzi wa mji wa Mtibwa katika mkutano wa
Operesheni M4C pamoja Daima jana.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
akimtambulisha mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Afande Sele,
wakati wa mkutano wa Operesheni M4C Pamoja Dama, uliofanyika katika Kata
ya Tungi mjini Mororgoro jana.
Maelefu
ya wakazi wa mkji wa Ifakara, wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa
Operesheni M4C Pamoja Daima, ambao ulihutubiwa na Mweneyekiti wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana.
No comments