Header Ads

RC Makonda awaambia watu wa mikoani, Unaruhusiwa kuja Dar kwa ruhusa maalum tu

Unaruhusiwa kuja Dar es salaam lakini lazima uwe na sifa maalum ila unaruhusiwa kuja kumsalimia ndugu yako lakini usikae sana"- Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda

No comments

Powered by Blogger.