Breaking News!! Basi la luwinzo lagongana na Lori asubuhi hii, Wawili wafariki na wengine wajeruhiwa...
Basi la abiria la kampuni ya Luwinzo linalofanya safari za Dar es salaam - Njombe limegongana na lori asubuhi hii likitokea Njombe kuelekea Dar.
Abiria wawili wameripotiwa kufariki dunia huku majeruhi wakiwa ni wengi. Ajali imetokea maeneo ya Kinegembasi Kata ya Mbalamaziwa wilayani Mufindi.
Abiria wawili wameripotiwa kufariki dunia huku majeruhi wakiwa ni wengi. Ajali imetokea maeneo ya Kinegembasi Kata ya Mbalamaziwa wilayani Mufindi.
No comments