Header Ads

Breaking News!!! Polis wakamata makontena 9 Mbezi Tank Bovu muda huu, Angalia video ya tukio zima hapa

Polisi wa Dar es Salaam kwa kushirikiana na TRA wanayashikilia makontena 9 wanayoyatilia mashaka kuwa huenda yalikuwa yanatoroshwa Tanki Bovu, Mbezi Beach.

Madereva waliokuwa wanasafirisha makontena hayo baada ya kuhojiwa wamesema hawajui wanakoyapeleka na hawana nyaraka muhimu za kuonyesha kilichopo ndani

No comments

Powered by Blogger.