Majambazi wafanya mauaji Tarime
Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mwikwabe Mwita mkazi wa Kibasa wilaya ya tarime mkoani Mara amefariki dunia baada ya kukatwa na kitu chenye ncha kali kichwani na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi baada ya kuvamia duka ambalo marehemu alikuwa akifanya kazi ya ulinzi nyakati za usiku
Akiongea kwa masikitika makubwa ya kuuawa kwa mlinzi wa duka lake na kuporwa mali zote zilizo kuwemo ndani ya duka hilo mmiliki wa duka, Chacha marwa analiomba jeshi la polisi kanda maalum ya Tarime na Rorya lishirikiane na raia wema ili kubaini walio tekereza mauaji ya Mwikwabe Mwita
Kwa upande wake diwani wa kata ya sabasaba Hamisi Nyanswi na na mwenyekiti wa kitongoji cha kibasa Kesewani kebacho wamesema kwa sasa mji wa tarime hali si shwali kutokana na kuibuka kwa vitendo vya uvamizi wa maduka ya wafanya biashara nyakati za usiku
Kaimu mganga mfawidhi wa Hosipitali ya Halmashauri ya mji wa Tarime Asha Magore amethibitisha kupokea majeruhi mwikwabe Mwita ambae alifariki dunia wakati akiendelea na matibabu

No comments