Header Ads

Wema Sepetu chali kura za maoni Ubunge wa viti maalum Singida

Msanii  wa  Filamu  za  kibongo  anayeongoza  kwa  urembo  ndani  ya  tasnia hiyo, Wema Abraham Sepetu, aliyekuwa anagombea Ubunge wa Viti Maalum jimbo la Singida amebwagwa chini baada ya kupata kura 90 tu katika uchaguzi huo.


Mgawanyo wa kura ulikuwa  hivi;
1. Aysharose Mattembe (311)
2. Martha Mlata(235)
3. Diana Chilolo(182)
4. Wema Sepetu(90)

No comments

Powered by Blogger.